PataNyumba.tz
← Nyuma
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 11, 2026
Dalali
@wags_investment8
WITH A GOLDEN SPIRIT INVESTMENT 🏡
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🔍 NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA KUWEKEZA KIWANDA

Natafuta eneo la kukodisha kwa makubaliano ya muda mrefu kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda.

✔️ Ukubwa unaohitajika: kuanzia SQM 7,000 hadi SQM 12,000.

Ikiwa unalo eneo linalokidhi vigezo hivi au una taarifa zinazoweza kusaidia, tafadhali wasiliana nasi.

📞 Simu: 0714 557 558

WAGS Investments Real Estate
“Hatuzui mali tu, tunajenga urithi.”

Nyumba zinazofanana