PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 350,000 / mwezi
Mbezi Beach · Apartment
Kupanga
Vyumba
3
Bafuni
1
Eneo
Mbezi Beach
Ilipochapishwa
May 30, 2026
Vifaa
master bedroomsebulejikotilesgypsumaluminiumfencepaving blocksindependent utilities
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏠✨ ───────────── ✨🏠
🏡 APARTMENT NZURI INAPANGISHWA – MBEZI KIBANDA 🏡
✨ ───────────── ✨🏠

🔥 Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye mazingira mazuri ya kuishi? Hii hapa nafasi yako ya kupata makazi bora kwa familia yako.

🏠 Nyumba ina:

🛏️ Vyumba 3 vya kulala
👑 Chumba 1 Master Bedroom
🛋️ Sebule nzuri na kubwa
🍽️ Jiko la kisasa
🚻 Public Toilet

✨ Vigezo vya ziada:

⚡ Umeme wa kujitegemea
💧 Maji ya kujitegemea
✨ Tiles nyumba nzima
🏠 Gypsum na Aluminium za kisasa
🛡️ Ipo ndani ya fensi salama
🛣️ Eneo la Paving Blocks
🏡 Inajitegemea kwa huduma zote muhimu

📍 LOCATION: Mbezi Kibanda

🛺 Usafiri wa Bajaji Tsh 800 tu
🚶 Kutoka stendi unatembea dakika 7 tu

💰 KODI: Tsh 350,000 × 6 Miezi

📸 Picha za ndani zitapatikana hivi karibuni.

🔥 Nyumba nzuri kwa familia na ipo katika mazingira tulivu na salama.

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuja kuiona nyumba.

💵 Gharama za kuona nyumba: Tsh 20,000
🤝 Malipo ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja baada ya kupata nyumba

✨ ───────────── ✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨ ───────────── ✨

#MbeziKibanda
#NyumbaInapangishwa
#ApartmentForRent
#PrimeHomesTZ
#DarEsSalaam

Nyumba zinazofanana