PataNyumba.tz
← Nyuma
Moshi · Nyumba
KupangaMaelezo hayajathibitishwa
Vyumba
2
Ilipochapishwa
Jun 14, 2026
Vifaa
masterchoo cha kukaabafuniwater heater systemsebulejiko la makabatipublic toiletumememajindani ya getikaribu kcmc
Dalali
@dalalimoshi_nyumba.viwanja
DALALIMOSHI_NYUMBA.VIWANJA
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
📍Habari za leo ndugu mteja wa Nyumba na viwanja  moshi , hii hapa ni Nyumba inayoachiwa na mpangaji ANAYEHAMA , Nyumba Ina bedrooms 2 moja master choo cha kukaa bafuni water heater system , sebule , jiko la makabati , public toilet nayo Ina water heater system ya maji moto ..mita yake ya Umeme mita yake ya maji .  ndani ya geti , Nyumba ipo kcmc karibia na lami kabisa . 
📍nyumba inahitaji Kodi ya miezi 8 au 9 , maana mpangaji ameomba kuondoka hapo na alilipia mwaka , yeye amekaa miezi miwili tuu , 
📍una karibishwa kuja kuiona ndani .

📞📞0672701329📞📞

#NyumbaZaKupanga 
#dalalimoshi_nyumba 
#viralreels
#goviral 
#gotrending

Nyumba zinazofanana