PataNyumba.tz
← Nyuma
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 13, 2026
Dalali
@dalalisoso___tz
ABDULKARIM AUDAX | REAL ESTATE
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
Kuhairisha ni adui wa uwekezaji. Vivyo hivyo, si kila kikwazo kinaonekana wazi. Wakati mwingine shughuli zako zinaenda, lakini maendeleo yako hayaongezeki. Unapata pesa, lakini hupanuki, huendelei wala kufikia malengo makubwa. Mara nyingine chanzo kinaweza kuwa mazingira ya watu wanaokuzunguka, husda, ushauri usiofaa au maamuzi yanayokurudisha nyuma bila wewe kutambua. Chunguza mazingira yako, linda malengo yako, na usiruhusu chochote kukuzuia kukua.”

Nyumba zinazofanana