← Nyuma





Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 14, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
JE, UNANUNUA KIWANJA AU UNANUNUA MUSTAKABALI WA UCHUMI WAKO? 📊✨ Watu wengi hufikiri kununua ardhi ni kumiliki tu kipande cha udongo. Lakini ukweli ni kwamba, katika ulimwengu wa uwekezaji wa kisasa, kiwanja sio ardhi tu—ni jukwaa la kuzalisha utajiri (Wealth Generation Platform). Ngoja kwanza. Mabilionea wengi duniani wana siri moja inayowafanya waendelee kuwa matajiri. ( REAL ESTATE 🏢💰) Unajua kwanini? Kwa sababu tofauti na biashara nyingine, ardhi haipotezi thamani (recession-proof asset). Hata uchumi ukiyumba, ardhi yako bado ipo na thamani yake na inazidi kupaa. Unapowekeza kwenye ardhi maeneo yanayokua kwa kasi kama ( Ilazo Extension, Dodoma) (Mbweni, Goba, Mbezi Beach au Masaki Dar es salaam) (Isamilo, Capri point au Buswelu Mwanza) Haununui tu mita za mraba; unanunua: 1️⃣ Thamani inayopanda kila kukicha (Capital Appreciation). 2️⃣ Usalama wa kifedha kwa kizazi chako. 3️⃣ Fursa ya kutengeneza kipato endelevu (Passive Income) kupitia ujenzi wa kisasa. Kazi yetu Makazi General sio kukuuzia tu kiwanja au kukusaidia kuuza kiwanja chako. Kazi yetu ni kukuonyesha fursa, kukupa ushauri wa kitaalamu, na kukulinda kisheria ili kila shilingi unayowekeza ikurudishie faida kubwa zaidi. Wewe kazi yako ni moja tu: Kuchagua wapi unataka kuwekeza uchumi wako. Sisi tutashughulika na mengine yote: • Ushauri wa Real Estate (Real Estate Consultation) • Hati Miliki na Transfer salama • Ujenzi wa kiwango kinachohitajika kwa gharama halisi na Smart Home Technology. Comment neno"NAHITAJI" kwenye comment au wasiliana nasi moja kwa moja: 📞 0765 113 961 | 0785 439 614 📍Ilazo Extension, Dodoma.
Nyumba zinazofanana
Kuuza
saa 4 zilizopitaTSh 462.8M
Dar Es Salaam · Apartment
1 chumba
1
Sumaku Real Estate Agency🇹🇿.
Kupanga
saa 2 zilizopita$3,500 / mwezi
Kawe · Nyumba
4 vyumba · 4 bafuni
1
Dalali Mikocheni
Kuuza
saa 3 zilizopitaTSh 540.8M
Oyster Bay · Apartment
1 chumba
Sumaku Real Estate Agency🇹🇿.
Kupanga
saa 3 zilizopita$1,200 / mwezi
Mikocheni · Apartment
2 vyumba · 2 bafuni
6
Dalali Mikocheni

saa 3 zilizopita
Dar es Salaam
233 3
ABDULKARIM AUDAX | REAL ESTATE
Kuuza
siku 2 zilizopita$800,000
Mikocheni · Kiwanja
1
Dalali Mikocheni