PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 700M
Magomeni · Kiwanja
Kuuza
Eneo
Magomeni
Ilipochapishwa
Jun 7, 2026
Vifaa
700 sqmtouches morogoro road2 houses1 framefreehold title
Dalali
@kombe_realestate
Kombe Real Estate
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏞️ KIWANJA KINAUZWA – MAGOMENI USALAMA 🏞️

📍 Eneo lipo moja kwa moja opposite na DCB House, Magomeni Usalama, Dar es Salaam.

✅ Kimegusa barabara ya lami ya Morogoro Road kabisa
✅ Ukubwa: SQM 700
✅ Nyumba 2 zipo ndani ya kiwanja
✅ Frame 1 ipo tayari
✅ Umiliki: Leseni ya Makazi

💰 Bei: TZS Milioni 700
🤝 Mazungumzo yapo

Eneo hili ni fursa adhimu kwa uwekezaji wa apartments, ofisi, biashara au maendeleo mengine ya kisasa kutokana na kuwa katika eneo lenye miundombinu bora na shughuli nyingi za kibiashara.

📞 Piga Simu / WhatsApp: 0787705274

#KiwanjaKinauzwa #MagomeniUsalama #MorogoroRoad #DarEsSalaam #RealEstateTanzania PropertyForSale InvestmentOpportunit

Nyumba zinazofanana