PataNyumba.tz
← Nyuma
Mikocheni · Kiwanja
Kuuza
Eneo
Mikocheni
Ilipochapishwa
Jun 9, 2026
Vifaa
6725 sqmdeed titleopposite palm villagetwo rental housesnear main roadcommercial potential
Dalali
@kombe_realestate
Kombe Real Estate
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
BIG PLOT FOR SALE – MIKOCHENI, DAR ES SALAAM

📍 Location: Mikocheni – Opposite Palm Village
📏 Plot Size: 6,725 SQM
📄 Documents: Full Document (Deed Title Available)

✨ Prime Investment Opportunity!

Kiwanja kikubwa chenye nafasi ya kipekee kwa uwekezaji wa kiwango cha juu. Eneo limegusa barabara ya lami na lina nyumba mbili za ghorofa zenye wapangaji tayari, hivyo unaweza kuendelea kupata mapato wakati ukiandaa mradi wako mkubwa.

Linafaa kwa:
✅ Apartment Complex
✅ Hotel & Hospitality Projects
✅ Warehouse / Commercial Development
✅ School or College Campus
✅ Office Complex
✅ Mixed-Use Real Estate Development

🔹 Eneo la kimkakati katikati ya Mikocheni
🔹 Miundombinu yote muhimu ipo
🔹 Mazingira bora kwa biashara na uwekezaji wa muda mrefu

💰 Price: Contact for Details

📞 Kombe Real Estate
0787 705 274

“Invest in location. Invest in value. Invest in the future.”

Nyumba zinazofanana