PataNyumba.tz
← Nyuma
Dar Bagamoyo Road · Kiwanja
Kuuza
Ilipochapishwa
May 31, 2026
Vifaa
waterelectricityroad accessmeasuredaccessible by road
Dalali
@dunia_properties
DUNIA REAL ESTATE
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
Viwanja kwenye Mji wa kwanza kutoka Dar es Salaam, Viwanja kuanzia sq mita 400 - 2,400 vipo Km 2 kutoka barabara kuu ya Dar Bagamoyo Road, bei ya sq mita ni sh 25,000/= viwanja vyotevimepimwa na vinafikiwa na barabara.

Maji ✅️

Umeme ✅️

Barabara ✅️

#bongo #bagamoyo #dalali #viwanja #arusha mwanza moshi Tanga bongo zanzibar dsm kilimanjaro Africa tanzania tanzaniaweddings maendeleo habari tz bongotrendings

Nyumba zinazofanana