← Nyuma





TSh 135M
Mbezi Beach · Nyumba
Kuuza
Vyumba
8
Eneo
Mbezi Beach
Ilipochapishwa
Jun 8, 2026
Vifaa
masterself-containedrental incomenear st. joseph universityinvestment property
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
🏡 NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA – MBEZI MWISHO Fursa adhimu ya uwekezaji katika eneo la Mbezi Mwisho, karibu sana na barabara ya lami. Nyumba ya tatu tu kutoka barabara kuu ya lami, hivyo kufikika ni rahisi wakati wote. ✅ Eneo lina ukubwa wa sqm 600 ✅ Ina vyumba 8 vya kupanga, vyote vikiwa master self-contained ✅ Vyumba vyote vina wapangaji tayari ✅ Kila chumba kinakodishwa kwa TSh 150,000 kwa mwezi ✅ Inazalisha mapato ya uhakika kila mwezi ✅ Karibu na St. Joseph University, hivyo mahitaji ya vyumba vya kupanga ni makubwa muda wote Kwa wawekezaji, nyumba hii inaweza kuendelea kutumika kama hostel au kubadilishwa kuwa guest house/lodge. Maeneo hayo chumba kimoja kinaweza kuingiza kati ya TSh 30,000 – 50,000 kwa siku kulingana na ubora wa finishing. 📈 Thamani ya eneo inaendelea kuongezeka kila mwaka, hivyo ni uwekezaji wenye faida ya mapato ya kila mwezi pamoja na ongezeko la thamani ya mali. 💰 Bei: TSh 135,000,000 (Milioni 135) Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/= 📞 Muhitaji piga: +255688412890 “Dalali wako Wakishua” 🏡✨
Nyumba zinazofanana

Kuuza
siku 2 zilizopita$350,000
Mbezi Beach · Kiwanja
305 2
Dalali Mikocheni
Kuuza
siku 2 zilizopita$350,000
Mbezi Beach · Kiwanja
2
Dalali Mikocheni

Kuuza
siku 2 zilizopitaTSh 800M
Mbezi Beach · Nyumba
5 vyumba
33
Kreole Estates

Kuuza
siku 1 iliyopitaTSh 350M
Mbezi Beach · Kiwanja
438
Dalali Mkombozi

Kuuza
wiki 1 iliyopitaTSh 1.3B
Mbezi Beach · Villa
4 vyumba
185
Kombe Real Estate

Kuuza
wiki 1 iliyopitaTSh 1.2B
Mbezi Beach · Kiwanja
43 2
WITH A GOLDEN SPIRIT INVESTMENT 🏡