PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 180,000 / mwezi
City Centre · Nyumba
Kupanga
Vyumba
1
Eneo
City Centre
Ilipochapishwa
Jun 4, 2026
Vifaa
mastersebulejiko la sinkgetibonite
Dalali
@dalalimoshi_nyumba.viwanja
DALALIMOSHI_NYUMBA.VIWANJA
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
📍Habari za jioni hii ndugu mteja , nakuletea Nyumba ya chumba kimoja master sebule na jiko la sink , ipo bonite Moshi mjini .Nyumba ni nzuri na ipo ndani ya geti .
📍Kodi 180,000x3 , kuona Nyumba 10,000 , MALIPO Kwa Dalali MWEZI mmoja .
KARIBU 📞📞0672701329📞📞
#today 
#dalalimoshi_nyumba 
#contentscreators 
#contentideas 
#foryoupage

Nyumba zinazofanana