PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 1B
Salasala · Apartment
Kuuza
Vyumba
5
Eneo
Salasala
Ilipochapishwa
Jun 4, 2026
Vifaa
swimming poolparkinggardenguest housemodernspacious
Dalali
@makaziboratz
Makazitz
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
Ghorofa la kisasa linalouzwa katika moja ya maeneo bora kabisa Salasala. Lina kila kitu unachohitaji kwa ajili ya maisha ya kifahari:

Sifa za Jengo:
 📐 Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 1400

 🛏 Vyumba: Vyumba 5 vya kulala (vikubwa na vyenye mwanga mzuri)

 🏡 Boycott (Bycotta): Ipo kwa ajili ya watumishi au wageni

 🏊‍♂️ Swiming Pool: Safi na kubwa kwa ajili ya mapumziko ya familia

 🌳 Uwanja: Sehemu kubwa ya kupumzikia yenye bustani ya kisasa na miti ya kuvutia

 🚗 Parking: Eneo kubwa la kupaki magari na barabara ya lami inayofika mpaka getini

💰 Bei: Tsh Bilioni 1 (1B)

Kama unatafuta utulivu, usalama, na hadhi ya juu kwa ajili ya familia yako, hii ndio chaguo sahihi.

📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya booking ya kuitembelea: 
@makaziboratz Au @dalalimbezibeach1tz 
0654929655
Au
0785008204 WhatsApp/Call

Nyumba zinazofanana