PataNyumba.tz
← Nyuma
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 3, 2026
Dalali
@mkigoma_tz
Mkigoma Bashir
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
EPISODE YA 1. “ PANGISHA”

Mwenye nyumba, hii imewahi kukutokea?
Mpangaji hajalipa kodi ya pango, kila ilifika mwisho wa mwezi anakua na kisingizio kipya, mara mwenza wake kafa, mara kaolewa tena 😂 yaani ilimradi akutie jaka moyo, Sasa fuatilia Episode hizi mpaka mwisho utapata suluhuhisho la maswali yako.

Ukiona unachelewa basi piga namba hizi kwa ajili ya kupata ufumbuzi 0657999441, 0651675522, 0651675533

Nyumba zinazofanana