PataNyumba.tz
← Nyuma
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Apr 24, 2026
Dalali
@pangishatz
Pangisha Company
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
Wamiliki wengi wa nyumba wanapoteza mamilioni kwa mwaka kwa malimbikizo ya kodi za wapangaji — si kwa sababu wapangaji wanakataa kulipa, bali kwa sababu hawajui nani anadaiwa, na ni kiasi gani.
Pangisha inakuonesha kila mpangaji anayedaiwa, kiasi chake, na tangu lini, ndani ya sekunde. Unasubiri nini? Anza leo. Tovuti yetu ni https://pangisha.com
au tupigie/WhatsApp 📞 0657-999-441
#Pangisha #TuishiKidijitali #Wamiliki #NyumbaTz #kodi

Nyumba zinazofanana