PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 50M
Segerea Kwa Bibi · Kiwanja
Kuuza
Ilipochapishwa
Jun 11, 2026
Vifaa
651 sqmmeasuredpeaceful areagood developmentcommunity services nearbysuitable for residential constructioninvestment project
Dalali
@dalaliwakishua
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS 🔥
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏡 KIWANJA KINAUZWA – SEGEREA KWA BIBI 🏡

Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki hapa!

📍 Kipo Segerea Kwa Bibi
📐 Ukubwa: Sqm 651
✅ Kimepimwa
✅ Eneo tulivu na lenye maendeleo mazuri
✅ Huduma muhimu za kijamii zinapatikana kwa urahisi
✅ Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi au mradi wa uwekezaji

💰 Bei: Milioni 50 tu

Usikose fursa hii ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi.

📞 Muhitaji piga: +255688412890

Dalali wako Wakishua. ✨

Nyumba zinazofanana