PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 200,000 / mwezi
Moshi · Nyumba
Kupanga
Vyumba
3
Ilipochapishwa
Jun 8, 2026
Vifaa
mastersebulejikodiningfenceuzistand-alone
Dalali
@dalalimoshi_nyumba.viwanja
DALALIMOSHI_NYUMBA.VIWANJA
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
📍Habari za leo ndugu mteja wa Nyumba moshi , Nyumba hii ipo kata ya shabaha Moshi , Ina bedrooms 3 moja master sebule jiko dining , Nyumba ni nzuri na ipo na Hali nzuri kama unavyoona , ipo ndani ya uzio wa fense ya ukuta ,
📍nyumba ipo karibia na Barabara ya usafiri wa bajaj za kuja mjini /mbuyuni nauli ni 1,500 tuu hadi mjini /mbuyuni .
📍KARIBU ujipatie Nyumba nzuri na ya kisasa iliyo na Hali nzuri na ubora mzuri
📍Kodi ni 200,000x4 au 6 , kuona Nyumba ni 10,000 MALIPO ya Dalali MWEZI mmoja .

📞📞0672701329📞📞
#nyumbazakupanga 
#dalalimoshi_nyumba 
#100millionsviews 
#goviral 
#foryoupage

Nyumba zinazofanana