PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 250,000 / mwezi
Bunju · Fremu / Duka
Kupanga
Eneo
Bunju
Ilipochapishwa
Jun 2, 2026
Vifaa
modernhigh and low floorbusiness areaaccessiblesafeparking
Dalali
@bomarealestate_tanzania
Boma Real Estate Tanzania
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏢 FRAME ZA BIASHARA ZINAPANGISHWA – MABWEPANDE, BUNJU B 🏢

Unatafuta eneo bora la kuanzisha au kupanua biashara yako?

Tunazo frame za kisasa zilizopo barabarani katika eneo la Mabwepande, Bunju B – Sheria ya Olympic.

✅ Frame za Juu na Chini (2 in 1)
✅ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia wateja
✅ Eneo lenye shughuli za biashara na makazi
✅ Rahisi kufikika kwa usafiri
✅ Mazingira salama na yenye nafasi ya kutosha

💰 Bei kwa Mwezi:
🔹 Tsh 250,000/=
🔹 Hadi Tsh 500,000/=

Zinafaa kwa:
✔️ Maduka
✔️ Ofisi
✔️ Saluni
✔️ Boutique
✔️ Wakala wa huduma mbalimbali
✔️ Biashara nyingine nyingi

📍 MABWEPANDE, BUNJU B
📞 Call/WhatsApp: 0799702068

Wahi sasa kabla nafasi hazijaisha!

🏡 BOMA REAL ESTATE
"Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia"
#realestateagency #househunters

Nyumba zinazofanana