PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 500,000 / mwezi
Mabwepande · Fremu / Duka
Kupanga
Eneo
Mabwepande
Ilipochapishwa
Jun 2, 2026
Vifaa
car washroad kuuoffice24hr customers
Dalali
@bomarealestate_tanzania
Boma Real Estate Tanzania
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🚗 CAR WASH INAPANGISHWA 🚗

Je, unatafuta sehemu bora ya kuendesha biashara ya Car Wash?

Tunapangisha Car Wash iliyopo MABWEPANDE ndani ya Sheria ya Olympic, eneo lenye mwonekano mzuri na linalofikika kwa urahisi.

✅ Ipo Road Kuu kabisa
✅ Kilomita 5 tu kutoka Barabara Kuu
✅ Wateja wa uhakika saa 24
✅ Unapata na Ofisi yako ndani ya eneo hilo
✅ Mazingira mazuri kwa biashara kukua

💰 Bei: Tsh 500,000/= kwa mwezi tu

📍 MABWEPANDE – Sheria ya Olympic
📞 Call/WhatsApp: 0799702068

Usikose fursa hii ya kuendesha biashara yako katika eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu na magari kila siku.

🏡 BOMA REAL ESTATE
"Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia"
#bomarealestate #househunters

Nyumba zinazofanana