PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 900,000 / mwezi
Boko · Nyumba
Kupanga
Vyumba
3
Bafuni
1
Eneo
Boko
Ilipochapishwa
Jun 7, 2026
Vifaa
mastersebuledining areajikousalamamaji 24humeme 24hmazingira tulivu
Dalali
@bomarealestate_tanzania
Boma Real Estate Tanzania
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA – BOKO MAGENGENI 🏡

Je, unatafuta nyumba yenye nafasi kubwa, usalama wa uhakika na mazingira bora kwa familia yako?

Tunayo nyumba nzuri ya kisasa inayopatikana Boko Magengeni yenye:

✅ Vyumba 3 vya kulala ✅ Master Bedroom ✅ Sebule kubwa na ya kisasa ✅ Dining Area ✅ Jiko lenye nafasi ya kutosha ✅ Public Toilet ✅ Usalama wa uhakika ✅ Maji Saa 24 ✅ Umeme Saa 24 ✅ Mazingira tulivu na rafiki kwa familia

Nyumba hii imeandaliwa kwa ajili ya kukupa faraja, usalama na maisha bora kila siku.

💰 Kodi: Tsh 900,000/= kwa mwezi

📍 Boko Magengeni

📞 Call/WhatsApp: 0799702068

Wahi sasa kupanga muda wa kuitembelea kabla haijachukuliwa na mpangaji mwingine.

🏡 BOMA REAL ESTATE ✨ Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia ✨

#estateagent

Nyumba zinazofanana