PataNyumba.tz
← Nyuma
$1.8M
Bahari Beach · Nyumba
Kuuza
Vyumba
7
Eneo
Bahari Beach
Ilipochapishwa
Jun 7, 2026
Vifaa
mastersebulejikoservant quartersswimming poolsalamahadhi ya juu
Dalali
@kombe_realestate
Kombe Real Estate
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏡 HOUSE FOR SALE – BAHARI BEACH, DAR ES SALAAM 🌊

Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba ya kifahari katika eneo la hadhi ya juu la Bahari Beach.

📍 Location: Bahari Beach, Dar es Salaam
📐 Plot Size: 4,500 SQM
📜 Umiliki: Hati Safi
💰 Bei: USD 1.8 Million (Mazungumzo Yapo)

✨ Nyumba Inajumuisha:
✅ Vyumba 7 vya kulala (vyote Master)
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Jiko la kisasa lenye makabati mazuri
✅ Servant Quarters 2 (chumba na sebule)
✅ Nyumba mbili za ziada ndani ya eneo
✅ Swimming Pool
✅ Eneo tulivu, salama na lenye hadhi ya juu

Inafaa kwa:
🏠 Makazi ya kifahari
🏨 Airbnb & Hospitality Business
📈 Uwekezaji wa muda mrefu
🏢 Matumizi ya kibiashara yenye hadhi ya juu

📞 Wasiliana nasi sasa:
0787 705 274

🚗 Site Visit: TSh 50,000

#KombeRealEstate #HouseForSale #BahariBeach #DarEsSalaam #LuxuryHome LuxuryLiving RealEstateTanzania PropertyForSale SwimmingPool InvestmentOpportunity DreamHome TanzaniaRealEstate

Nyumba zinazofanana