← Nyuma





Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 8, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Thamani ya ardhi hutofautiana kulingana na eneo ilipo, miundombinu na uwekezaji uliofanyika maeneo hayo. Ukiwekeza kwenye kiwanja chenye Thamani kubwa unakuwa umejihakikishia ongezeko la Thamani kadri muda unavyokwenda. Ni tofauti na ukiwekeza jengo la thamani kubwa kwenye kiwanja chenye Thamani ndogo kulingana na eneneo kilipo. Hapo unakuwa umepata hasara na ongezeko la Thamani litakuwa kwa taratibu sana na hiyo itapelekea kushindwa kupata ROI kwa wakati. Ndio maaa tunashauri ufanye uchunguzi na uchambuzi wa kina kabla hujanunua ardhi na upate majibu ya maswali haya 5. 1. Nini dhumuni hasa la uwekezaji wangu, ni jengo la kuishi, jengo la biashara, au vyote kwa pamoja? 2. Bei ya ardhi ninayopewa ni halisi, iko juu au chini ya bei halisi ya soko? 3. Gharama zote za uwekezaji kuanzia kiwanja mpaka jengo kukamilika ni kiasi gani, na je ninacho kiasi hicho cha pesa au nitakopa? 4. Na kama sihitaji kuwekeza sasa hivi nataka ninunue tu ardhi niiache kwa muda, ukuaji wa Thamani ya ardhi maeneo hayo ukoje? 5. Kama sitajenga ninaweza kurudisha pesa yangu muda wowote nikiamua kupauza? 6. Na kama nitaamua kuwekeza, itachukua muda gani kurudisha Gharama zote za uwekezaji wangu bila kupauza? Ukipata majibu ya maswali hayo yote unaruhusiwa kuwekeza au kuacha kuwekeza ukiwa na maamuzi sahihi na uhakika wa kile unachokifanya. Kwa ushauri wa kitalaamu kuhusu ardhi na uwekezaji wasiliana nasi leo kwa kubonyeza link kwenye bio. Follow kupata madini ya kutosha kuhusu ardhi na uwekezaji kila siku. Mtag rafiki yako mwenye mapenzi sana na ardhi au uwekezaji kwenye real estate Tanzania 🇹🇿 #realestatetz #uwekezaji #tanzania #makazigeneral #viwanjadodoma
Nyumba zinazofanana
Kuuza
saa 4 zilizopitaTSh 462.8M
Dar Es Salaam · Apartment
1 chumba
1
Sumaku Real Estate Agency🇹🇿.
Kupanga
saa 2 zilizopita$3,500 / mwezi
Kawe · Nyumba
4 vyumba · 4 bafuni
1
Dalali Mikocheni
Kuuza
saa 3 zilizopitaTSh 540.8M
Oyster Bay · Apartment
1 chumba
Sumaku Real Estate Agency🇹🇿.
Kupanga
saa 3 zilizopita$1,200 / mwezi
Mikocheni · Apartment
2 vyumba · 2 bafuni
6
Dalali Mikocheni

saa 3 zilizopita
Dar es Salaam
233 3
ABDULKARIM AUDAX | REAL ESTATE
Kuuza
siku 2 zilizopita$800,000
Mikocheni · Kiwanja
1
Dalali Mikocheni