PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 300,000 / mwezi
Tegeta · Nyumba
Kupanga
Vyumba
1
Eneo
Tegeta
Ilipochapishwa
Jun 7, 2026
Vifaa
sebulejikofencesecuritypeaceful
Dalali
@bomarealestate_tanzania
Boma Real Estate Tanzania
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – TEGETA, KIBAONI 🏡

Unatafuta nyumba nzuri, salama na yenye mazingira bora ya kuishi?

Tunayo nyumba ya kisasa inayopangishwa eneo la Tegeta Kibaoni yenye:

✅ Chumba Kimoja cha Kulala ✅ Sebule kubwa na ya kisasa ✅ Jiko zuri na lenye nafasi ✅ Ipo ndani ya fensi ✅ Usalama wa uhakika ✅ Muonekano mzuri ndani na nje ya nyumba ✅ Mazingira tulivu na rafiki kwa familia

💰 Kodi: Tsh 300,000/= kwa mwezi 📌 Malipo ni miezi 8

📍 Location: Tegeta, Kibaoni

Usikose fursa hii ya kupata makazi bora kwa gharama nafuu.

📞 Call/WhatsApp: 0799702068

🏡 BOMA REAL ESTATE "Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia"

Nyumba zinazofanana