โ Nyuma





TSh 1.2B
Tabata ยท Nyumba
Kuuza
Vyumba
2
Eneo
Tabata
Ilipochapishwa
Jun 25, 2026
Vifaa
mastersebulejikopublic choomajiumemeacpaving
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram โ
โธโพMaelezo ya awali
๐ข NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA โ TABATA SEGEREA Fursa adimu kwa mwekezaji anayehitaji kipato cha uhakika kila mwezi! ๐๏ธ Jumla ya nyumba: 22 ๐ Kila nyumba ina: * Vyumba 2 (kimoja Master) * Sebule * Jiko * Choo cha Public * Maji na umeme wa kujitegemea ๐ต Kodi ya sasa: TSh 400,000 kwa kila nyumba kwa mwezi. ๐ Mapato: * Zaidi ya TSh Milioni 8 kwa mwezi * Zaidi ya TSh Milioni 100 kwa mwaka ๐ก Fursa ya kuongeza mapato: Unaweza kufanya maboresho madogo kama: * Kufunga AC * Kuweka makabati ya jikoni * Kuweka paving ndani ya compound * Kuboresha finishing Baada ya maboresho hayo, unaweza kuongeza kodi hadi TSh 600,000โ700,000 kwa kila nyumba, hivyo kuongeza mapato yako kwa kiasi kikubwa. ๐ Eneo ni zuri, lina mahitaji makubwa ya wapangaji na thamani ya mali inaendelea kuongezeka kila mwaka. ๐ฐ Bei: TSh Bilioni 1.2 ๐ Wasiliana: 0688 412 890 ๐ฐ Service Charge: TSh 30,000/= Hii ni fursa ya kweli kwa mwekezaji anayefikiria faida ya muda mrefu. Karibu tufanye biashara. Dalali Wakishua โ Miliki Kesho Yako Leo!!!
Nyumba zinazofanana

Kuuza
siku 1 iliyopitaTabata ยท Kiwanja
639 10
ABDULKARIM AUDAX | REAL ESTATE

Kuuza
siku 1 iliyopitaTSh 18M
Tabata ยท Kiwanja
4.8K 51
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐ฅ

Kuuza
siku 2 zilizopitaTSh 29M
Tabata ยท Kiwanja
1.1K 11
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐ฅ

Kuuza
saa 12 zilizopitaTSh 4M
Tabata ยท Kiwanja
3.1K 34
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐ฅ

Kuuza
siku 2 zilizopitaTSh 38M
Tabata ยท Kiwanja
1.3K 12
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐ฅ

Kuuza
siku 1 iliyopitaTSh 13M
Tabata ยท Kiwanja
2.2K 18
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐ฅ