PataNyumba.tz
โ† Nyuma
TSh 18M
Tabata ยท Kiwanja
Kuuza
Eneo
Tabata
Ilipochapishwa
Jun 26, 2026
Vifaa
500 sqm1km from townsales agreementsuitable for apartmentssuitable for business buildings
Dalali
@dalaliwakishua
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐Ÿ”ฅ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram โ†’
โ–ธMaelezo ya awali
๐Ÿก KIWANJA KINAUZWA โ€“ TABATA SANENE ๐Ÿก

Unatafuta eneo zuri la uwekezaji? Hiki ndicho chaguo sahihi!

๐Ÿ“ Eneo: Tabata Sanene
๐Ÿ“ Ukubwa: Sqm 500
๐Ÿ›ฃ๏ธ Umbali: Takribani kilomita 1 kutoka kituoni, gari linafika hadi kwenye kiwanja bila shida.
๐Ÿ’ฐ Bei: TSh 18,000,000 (Fixed)
๐Ÿ“„ Umiliki: Sales Agreement

โœ… Kinafaa kwa ujenzi wa:

* Apartments
* Nyumba za biashara
* Vyumba vya kupanga (master, master na sebule, au master sebule na jiko) kwa ajili ya mapato ya kodi.

Usikose fursa hii ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi.

๐Ÿ“ž Wahi sasa, wasiliana nasi!
๐Ÿ’ต Service Charge: TSh 30,000

Dalali Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!

Nyumba zinazofanana