PataNyumba.tz
โ† Nyuma
TSh 38M
Tabata ยท Kiwanja
Kuuza
Eneo
Tabata
Ilipochapishwa
Jun 25, 2026
Vifaa
400 sqmgood for residential constructiongood for apartment buildingdeveloped areaaccessible roadall-weather access
Dalali
@dalaliwakishua
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐Ÿ”ฅ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram โ†’
โ–ธMaelezo ya awali
๐Ÿก KIWANJA KINAUZWA โ€“ TABATA BONYOKWA STENDI

Unatafuta kiwanja kizuri kwa makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa nzuri kwako!

๐Ÿ“ Location: Tabata Bonyokwa Stendi, takribani dakika 5 kutoka stendi hadi kwenye kiwanja.

โœ… Ukubwa: SQM 400
โœ… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi
โœ… Pia kinafaa kwa ujenzi wa apartments (nyumba za biashara)
โœ… Eneo ni zuri, limeendelea na linaendelea kukua kwa kasi
โœ… Barabara imewekewa zege na inafikika kirahisi hata kipindi cha mvua

๐Ÿ’ฐ Bei: TSh Milioni 38 (Fixed)
๐Ÿ“„ Nyaraka: Sales Agreement

Usikose nafasi hii ya kuwekeza katika eneo lenye maendeleo na mahitaji makubwa ya makazi.

๐Ÿ“ž Wasiliana: 0688 412 890
๐Ÿ’ฐ Service Charge: TSh 30,000/=

Karibu ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali Wakishua โ€“ Miliki Kesho Yako Leo!!!

Nyumba zinazofanana