PataNyumba.tz
โ† Nyuma
TSh 80M
Tabata ยท Kiwanja
Kuuza
Eneo
Tabata
Ilipochapishwa
Jun 10, 2026
Vifaa
kona plot500 sqmfence pande mbilibarabara nzuri
Dalali
@dalaliwakishua
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS ๐Ÿ”ฅ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram โ†’
โ–ธMaelezo ya awali
๐Ÿ”ฅ KIWANJA KINAUZWA โ€“ TABATA SEGEREA MWISHO ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ Eneo zuri sana, karibu na huduma muhimu za kijamii
๐Ÿก Kona Plot
๐Ÿ“ Ukubwa: Sqm 500
๐Ÿ”’ Kina fence pande mbili
๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 80 tu

โœ… Kinafaa kwa makazi binafsi
โœ… Uwekezaji wa nyumba za biashara
โœ… Fursa ya kujenga BnB, Lodge au Apartments
โœ… Barabara nzuri na mazingira yenye maendeleo makubwa

๐Ÿ“ˆ Wekeza leo katika eneo lenye thamani inayoongezeka kila siku.

Service Charge / Gharama ya huduma: 30,000/=

๐Ÿ“ž Muhitaji piga: +255 688 412 890.

Nyumba zinazofanana