PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 400,000 / mwezi
Kimara · Apartment
Kupanga
Vyumba
2
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
May 30, 2026
Vifaa
mastersebulejikoparkingfensiumememajipaving blocks
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏠✨ ───────────── ✨🏠
🏡 APARTMENT MPYA INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE 🏡
✨ ───────────── ✨🏠

🔥 Unatafuta makazi mazuri, salama na yenye mazingira rafiki kwa familia? Hii hapa nafasi yako ya kupata apartment bora kwa bei nafuu.

🏠 Apartment ndani ya fensi (Units 2 zinapatikana)

🛏️ Vyumba 2 vya kulala
👑 Chumba 1 Master Bedroom
🛋️ Sebule kubwa sana
🍽️ Jiko zuri
🚻 Public Toilet ndani

✨ Vigezo vya ziada:

⚡ Umeme mita yako binafsi
💧 Maji yanatiririka ndani muda wote
🚗 Parking Space kubwa
🛣️ Eneo la Paving Blocks
🛡️ Nyumba ipo ndani ya fensi salama

📍 LOCATION: Kimara Korogwe kwa Mkua

💰 KODI: Tsh 400,000 kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 6

🔥 Nyumba nzuri kwa familia na ipo katika mazingira tulivu na salama.

📆 NB: Nyumba itakuwa wazi tarehe 01/06/2026. Kuona na kuripia mapema kunaruhusiwa.

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuja kuiona.

💵 Gharama za kuona nyumba: Tsh 20,000
🤝 Malipo ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja baada ya kupata nyumba

✨ ───────────── ✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨ ───────────── ✨

#KimaraKorogwe
#NyumbaInapangishwa
#ApartmentForRent
#PrimeHomesTZ
#DarEsSalaam

Nyumba zinazofanana