← Nyuma





TSh 400,000 / mwezi
Kimara · Apartment
Kupanga
Vyumba
4
Bafuni
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
May 30, 2026
Vifaa
master bedroomsebulediningjikotilesmajiumemeparkingfensi
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
🏠✨ ───────────── ✨🏠 🏡 APARTMENT KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA 🏡 ✨ ───────────── ✨🏠 🔥 Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye mazingira mazuri ya kuishi? Hii hapa nafasi yako ya kupata makazi bora kwa familia yako kwa bei nafuu. 🏠 Nyumba ina: 🛏️ Vyumba 4 vya kulala 👑 Chumba 1 Master Bedroom 🛋️ Sebule kubwa sana pamoja na Dining 🍽️ Jiko kubwa la makabati na Store 🚻 Choo cha familia ✨ Tiles sehemu nyingi za nyumba 💧 Maji yanapatikana muda wote ⚡ Umeme wa LUKU wako binafsi 🚗 Parking Space kubwa sana 🛡️ Ipo ndani ya fensi salama 📍 LOCATION: KIMARA MWISHO 🛣️ Umbali KM 1.5 kutoka barabara kuu 🏍️ Bodaboda Tsh 1,000 tu ➡️ Upande wa kushoto ukiwa unaelekea Mbezi 💰 KODI: Tsh 400,000 × 6 Miezi 🔥 Bei ni rafiki sana ukizingatia ukubwa wa nyumba na eneo ilipo. 📞 Kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuja kuiona nyumba. 💵 Service Charge ya kuona nyumba: Tsh 20,000 🤝 Ukipenda nyumba, dalali hulipwa kodi ya mwezi mmoja baada ya kukamilisha malipo ya nyumba. ✨ ───────────── ✨ 🏠 PRIME HOMES TZ 🏠 "Tunakuunganisha na makazi bora" ✨ ───────────── ✨ #KimaraMwisho #NyumbaInapangishwa #DarEsSalaam #PrimeHomesTZ #ApartmentForRent
Nyumba zinazofanana

Kupanga
wiki 4 zilizopitaTSh 200,000 / mwezi
Kimara · Apartment
1 chumba · 1 bafuni
47
Prime Homes TZ

Kupanga
wiki 3 zilizopitaTSh 1.2M / mwezi
Kimara · Nyumba
3 vyumba
68
Prime Homes TZ

Kupanga
wiki 4 zilizopitaTSh 400,000 / mwezi
Kimara · Apartment
2 vyumba
18
Prime Homes TZ

Kupanga
wiki 3 zilizopitaTSh 230,000 / mwezi
Kimara · Nyumba
1 chumba · 1 bafuni
26
Prime Homes TZ

Kupanga
wiki 3 zilizopitaTSh 100,000 / mwezi
Kimara · Chumba
1 chumba · 1 bafuni
199 1
Prime Homes TZ

Kupanga
wiki 3 zilizopitaTSh 450,000 / mwezi
Kimara · Apartment
2 vyumba · 1 bafuni
19
Prime Homes TZ