PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 100,000 / mwezi
Kimara · Chumba
Kupanga
Vyumba
1
Bafuni
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
Jun 2, 2026
Vifaa
master bedroomen-suite bathroommaji ya dawasasalamatulivushared meter
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
✨🏡 NYUMBA YA KUPANGA – MASTER BEDROOM 🏡✨

📍 KIMARA MWISHO

Unatafuta chumba kizuri, salama na chenye faragha yako mwenyewe?

🔥 Hii hapa Master Bedroom yenye choo ndani kwa bei nafuu sana!

✅ Chumba kikubwa cha Master Bedroom ✅ Choo cha ndani ✅ Maji ya DAWASA yanapatikana muda wote ✅ Compound moja yenye nyumba 4 tu ✅ Luku ya kushare nyumba 2 (Sub-meter yako binafsi) ✅ Mazingira salama na tulivu

🚐 Usafiri rahisi: • Bajaji • Noah Tsh 700/=

📏 Umbali wa KM 1.5 kutoka barabara kuu

💰 KODI: Tsh 100,000 TU KWA MWEZI

⚠️ Nyumba za aina hii hupata wapangaji haraka, wahi kuwasiliana nasi leo.

📞 CALL: 📱 WHATSAPP:

🏡 PRIME HOMES TZ "Tunakuunganisha na makazi bora"

#KimaraMwisho #MasterBedroom #NyumbaInapangishwa #DarEsSalaam #PrimeHomesTZ

Nyumba zinazofanana