PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 200,000 / mwezi
Kimara · Apartment
Kupanga
Vyumba
1
Bafuni
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
May 30, 2026
Vifaa
master bedroomsebulejikopublic toiletprivate electricity meterprivate water metercompound with 2 apartments
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🏠✨ ───────────── ✨🏠
🏡 APARTMENT NZURI KALI SANA INAPANGISHWA 🏡
✨ ───────────── ✨🏠

🔥 Unatafuta nyumba ya kisasa, salama na yenye mazingira mazuri ya kuishi? Hii hapa nafasi yako ya kupata makazi bora kwa gharama nafuu sana.

🏠 Apartment ina:

🛏️ Chumba Master Bedroom
🛋️ Sebule nzuri na ya kisasa
🍽️ Jiko zuri
🚻 Public Toilet ya pembeni

✨ Vigezo vya ziada:

⚡ Umeme wa LUKU wako binafsi
💧 Maji mita yako binafsi na yanapatikana ndani muda wote
🛡️ Compound moja yenye Apartment 2 tu
🏠 Apartment moja pekee ndiyo ipo wazi kwa sasa

📍 LOCATION: Kimara Temboni
➡️ Upande wa kushoto ukiwa unaelekea Mbezi

🛣️ Umbali: KM 1.5 kutoka barabara kuu
🛺 Bajaji Tsh 700 tu
🚶‍♂️ Au unaweza kufika kwa Tsh 500

💰 KODI: Tsh 200,000 × 6 Miezi
💵 Tahadhali: Tsh 100,000

🔥 Bei ni rafiki sana ukizingatia eneo na huduma zilizopo.

📞 Piga simu moja kwa moja kwa maelezo zaidi.
❌ Usitume SMS, unaweza kuchelewa kujibiwa.

💵 Gharama za kuona nyumba: Tsh 20,000
🤝 Malipo ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja baada ya kupata nyumba

✨ ───────────── ✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨ ───────────── ✨

#KimaraTemboni
#NyumbaInapangishwa
#ApartmentForRent
#PrimeHomesTZ
#DarEsSalaam

Nyumba zinazofanana