PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 450,000 / mwezi
Kimara · Apartment
Kupanga
Vyumba
2
Bafuni
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
Jun 1, 2026
Vifaa
mastersebulejikoacheaterelectronic fenceparkingtilesgypsum
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
✨• •──────────────• •✨
🏢 APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 🏢
📍 KIMARA TEMBONI – KM 1 KUTOKA LAMI
✨• •──────────────• •✨

🔥 Apartment 2 tu ndani ya fence moja, mazingira tulivu na salama sana kwa familia.

🏠 MUUNDO WA NYUMBA:

🛏️ Vyumba 2 vya kulala
👑 Kimoja Master Bedroom
🛋️ Sebule kubwa sana
🍽️ Jiko kubwa la kisasa
🚽 Public Toilet safi
🚿 Heater ya maji moto na maji baridi
❄️ Full Air Condition (A.C)
✨ Tiles za kisasa
🎨 Gypsum nzuri
🛡️ Electronic Fence
🚗 Parking Space kubwa
🏡 Ndani ya fence kubwa na salama

💰 KODI: 450,000/= × 6
🧾 Service Charge: 20,000/= kwa mwezi
🤝 Malipo ya dalali ni mwezi mmoja tu

📍 LOCATION: Kimara Temboni
🛣️ Umbali wa KM 1 kutoka lami

🔥 Nyumba chache sana zenye ubora huu kwa bei hii. Wahi kuwasiliana nasi kabla hazijapangishwa.[ +255 686628195]

✨• •──────────────• •✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
“Tunakuunganisha na makazi bora”
✨• •──────────────• •✨

#KimaraTemboni
#ApartmentDarEsSalaam
#PrimeHomesTZ
#NyumbaInapangishwa
#RentalHouseTz

Nyumba zinazofanana