PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 1.2M / mwezi
Kimara · Nyumba
Kupanga
Vyumba
3
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
May 31, 2026
Vifaa
stand-alonemastersebulejikoaccameramaji ya moto na baridifencegardenparking
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
✨ ••────────────•• ✨
🏡 STAND ALONE KUBWA SANA INAPANGISHWA – KIMARA TEMBONI 🏡
✨ ••────────────•• ✨

🔥 Unatafuta nyumba ya kisasa, kubwa na yenye hadhi kwa familia yako?
Hii ni fursa ya kipekee katika eneo tulivu na salama la Kimara Temboni.

🏠 Sifa za Nyumba:

🛏️ Vyumba 3 vya kulala – Vyote Master Bedroom
🛋️ Sebule kubwa ya kisasa
🍽️ Jiko kubwa la makabati
❄️ Air Condition (A/C)
📹 Mfumo wa Kamera za Ulinzi
🚿 Maji ya Moto na Baridi (Hot & Cold Water)
🛡️ Fence kubwa na salama
🌳 Garden nzuri kwa mapumziko na watoto kucheza
🚗 Maegesho ya kutosha

📍 LOCATION:
Kimara Temboni

📏 UMBALI:
Km 2 kutoka barabara kuu

💰 BEI:
TSH 1,200,000 kwa mwezi

🔥 Ndugu mteja, mafundi bado wapo kazini wakifanya maboresho ya mwisho.
Fika eneo la tukio ujionee mwenyewe ubora wa nyumba hii ya kipekee. Nyumba ni kali sana! 🔥🔥🔥

📞 Wahi kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuitembelea.
+255 686628195

✨ ••────────────•• ✨
🏡 PRIME HOMES TZ 🏡
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨ ••────────────•• ✨

#KimaraTemboni
#StandAloneHouse
#NyumbaInapangishwa
#PrimeHomesTZ
#DarEsSalaam 🏡✨

Nyumba zinazofanana