PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 500,000 / mwezi
Kimara · Nyumba
Kupanga
Vyumba
3
Bafuni
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
Jun 1, 2026
Vifaa
mastersebulejikoair conditionindependent electricityindependent waterfencesecurity
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
🔥🏡 NYUMBA NZURI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA – KIMARA SUKA 🏡🔥

⚡ ZIPO NYUMBA 2 TU NDANI YA FENSI ⚡

📍 Location: Kimara Suka 🚶 Umbali wa KM 1 tu kutoka Stand ya Suka

✨ Kama unatafuta nyumba ya kisasa, yenye nafasi kubwa na mazingira tulivu kwa familia yako, hii ndiyo chaguo sahihi.

🔑 MUUNDO WA NYUMBA

🛏️ Vyumba 3 vya kulala 🛏️ Kimoja Master Bedroom 🛋️ Sebule kubwa na yenye nafasi ya kutosha 🍽️ Jiko kubwa 🚿 Choo cha familia ❄️ Air Condition kwenye Master Bedroom na Sebule ⚡ Umeme wa kujitegemea 💧 Maji ya kujitegemea 🏠 Ipo ndani ya fensi yenye usalama

✅ Mazingira safi na tulivu ✅ Inafaa kwa familia ✅ Usafiri rahisi na wa uhakika

💰 KODI: Tsh 500,000 × Miezi 6

📌 Kwenda kuangalia nyumba ni Tsh 20,000 tu.

📝 MALIPO YA UDALALI: Mpangaji atamlipa Agent kodi ya mwezi mmoja baada ya kukamilisha malipo ya nyumba.

📞 Wahi kuwasiliana nasi sasa kabla haijachukuliwa.

⭐ NYUMBA NZURI HUZAAKA SOKONI KWA MUDA MFUPI – USIKOSE FURSA HII

#KimaraSuka #NyumbaInapangishwa #ApartmentDarEsSalaam #PrimeHomesTZ #NyumbaZaKodi KimaraHomes DarEsSalaamProperties 🏡🔥

Nyumba zinazofanana