PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 150,000 / mwezi
Kimara · Apartment
Kupanga
Vyumba
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
May 31, 2026
Vifaa
mastersebuleumeme wa kujitegemeamajisakafu ya tilesdari ya gypsummadirisha ya aluminium
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
✨ ••──────────────•• ✨
🏠🏡 APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 🏡🏠
📍 KIMARA TEMBONI
✨ ••──────────────•• ✨

💫 Unatafuta nyumba nzuri, ya kisasa na yenye mazingira mazuri ya kuishi?

Hii hapa nafasi yako ya kupata makazi bora kwa gharama nafuu sana.

🏠 Nyumba ina:

🛏️ Chumba 1 Master Bedroom
🛋️ Sebule nzuri na ya kisasa
⚡ Umeme wa kujitegemea
💧 Maji ya uhakika
🔲 Sakafu ya Tiles
✨ Dari ya Gypsum
🪟 Madirisha ya Aluminium

📍 LOCATION:
Kimara Tembo ni KM 2 kutoka barabara kuu
🛺 Ukishuka bajaji nyumba unaiona

💰 PRICE:
150,000 TSH Tu kwa Mwezi

📅 MALIPO:
Miezi 6 mbele

🔥 Bei ni rafiki sana ukizingatia location na ubora wa nyumba.

📞 Wahi kuwasiliana nasi kabla nyumba haijapangishwa.

✨ ••──────────────•• ✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨ ••──────────────•• ✨

#NyumbaInapangishwa
#KimaraTemboni
#DarEsSalaam
#PrimeHomesTZ
#RentalHouse

Nyumba zinazofanana