PataNyumba.tz
← Nyuma
TSh 100,000 / mwezi
Kimara · Chumba
Kupanga
Vyumba
1
Eneo
Kimara
Ilipochapishwa
Jun 1, 2026
Vifaa
mastertilesgypsumaluminum windowsparkingfencepaving blockselectricity meterwater meter
Dalali
@prime_homes_tz
Prime Homes TZ
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
Maelezo ya awali
✨• •──────────────• •✨
🏠 CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINAPANGISHWA 🏠
📍 KIMARA SUKA
✨• •──────────────• •✨

🔥 Unatafuta chumba kizuri, kikubwa na mazingira salama? Hiki hapa kinapatikana kwa bei nafuu sana.

🏡 CHUMBA HIKI KINA:

👑 Master Bedroom kubwa sana
✨ Tiles za kisasa
🎨 Gypsum nzuri
🚪 Madirisha ya Aluminium
🚗 Parking Space kubwa
🏘️ Ndani ya Fence salama
🛣️ Full Paving Blocks
⚡ Umeme wa LUKU wako mwenyewe
💧 Maji mita yako mwenyewe na yanapatikana muda wote

📍 LOCATION: Kimara Suka
➡️ Upande wa kushoto kama unaelekea Mbezi

📏 UMBALI: 🛵 Bajaji 1,000/=
🏍️ Bodaboda 1,500/=
🛣️ KM 3 kutoka barabara kuu

💰 KODI: 100,000/= × 6

📝 Kuona nyumba Service Charge ni 20,000/=

🤝 Ukipenda nyumba na kulipia, malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja tu.

🔥 Bei nzuri sana kwa chumba chenye ubora huu na mazingira salama.

📞 Wahi kuwasiliana nasi kabla hakijapangishwa.
[+255 686628195]

✨• •──────────────• •✨
🏠 PRIME HOMES TZ 🏠
"Tunakuunganisha na makazi bora"
✨• •──────────────• •✨

#KimaraSuka
#MasterBedroom
#NyumbaInapangishwa
#PrimeHomesTZ
#RentalHouseTz

Nyumba zinazofanana